Posts

SHIBE LiNAPUNGUA KILA KUCHAO

 Mbona niseme shibe linapungua kila kuchao?? Kwa nini nikaangazia tu shibe ,ni kwa sababu bila chakula binadamu Hana uhai Tena. Sasa hivi kilichokuwa Cha Bei ya chini ni Cha Bei ya juu iliyo maradufu ,Bei ambayo hairidhishi ,Wengi wanaulizana tufanye nini ,twende wapi ,tumlilie nani. Bei ya mafuta ya kupika haswa ndio kizungumkuti kwa sasa ,vitoe si vitoe Tena kwani havina ladha kwa sababu havipati mafuta ya kutosha, usafiri nao kwa upande wao umesema "wakipandisha tutapandisha" nauli unaenda kupanda kwa kiwango Cha ajabu sana ,Wengi watalazimika kutembea kwa mguu hata ikiwa safari ya Marekani. Athari ya kupanda kwa Bei ya bidhaa hapa nchini inamkosesha mwananchi usingizi ,hajui kesho atakula nini pamoja na wanae ,lawana zinawapata wazazi kwa kuwa tu watoto wao hawajapata Cha kuweka mdomoni ,itafikia wakti binadamu ataamua kumla binadamu mwenziye kwani yeye ndo chakula kilichobakia mbele na nyuma. Niulize tu ila kwa unyenyekevu ,uliyemchagua atetee maslahi yako Yuko wapi ?? U...

TUMWAMINI NANI?

  “TOA FUNGU LA ALFU KUMI UPATE KUOMBEWA “. HIZI NDIZO SEMI KUTOKA KWA VINYWA VYA BAADHI YA WACHUNGAJI WENGI HAPA NCHINI KWA WANAKONDOO WAO AMBAO WANATUMIKIA. ASHAKUM SI MATUSI ILA NIKISEMA HII NI NJIA MOJA YA WIZI AU NISEME VIPI. NINALOFAHAMU NI KWAMBA MAOMBI NI YA BURE KWANI MTU HUTOA SHUKRANI KWA MWENYEZI MUNGU KWA HIARI WALA SI KULAZIMISHWA ,KUMAANISHA MOYO UMEPENDA NA UKAKUBALI KUWA HIKI NILICHO NACHO MKONONI NAKITOA NIKIWA MWENYE FURAHA MBELE YA MADHABAO. NISEME NI KINAYA AU VINAYA KWANI MHUMINI ANISHI KWENYE NYUMBA YA MATOPE NA SI MATOPE TU KINGA YA JUU NI NYASI ZILIZOISHI MIAKA YAKE NA ZINAHITAJI KUTOLEWA ,MVUA IKINYESHA HANA MAHALA PA KUJIKINGA HIVYO INAMLAZIMU KIKIMBILIA KWA JIRANI ,NAE MCHUNGA KONDOO ANAISHI KWA NYUMBA ZA KIFALME.DAAH!! KONDOO ANAKUPA NGOZI ,NYAMA NA FAIDA ZINGINE LAKINI WEWE MCHUNGAJI HUNA HATA MUDA WA KUDHIBITISHA MAHALA AMBAPO KONDOO WAKO ANAISHI?. MTANIMALIZA JAMANI. ILISHANENWA TOKA ENZI ZILE YA KWAMBA WATAKUJA WENGI WASIO WA UKWELI KWA JINA...

AMANI IDUMISHWE

Image
  Siku zote binadamu tunafahamu umuhimu wa amani haswa hapa nchini Kenya .Tunapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa Agosti tisa usisahau kuweka akilini kwamba sote tuna haki ya kuishi kama wakenya.Dhuluma za aina zote hazifai kuruhusiwa kwani hazina manufaa yoyote .Machafuko ya baada ya uchaguzi wa mwaka alfu mbili na Saba yalileta picha zisizopendeza ,Wengi waliyapoteza maisha Yao bila kusudi lolote. Wafahamu amani ni nini??,umuhimu wa amani ni nini??.Basi amani ni kuhakikisha kwamba mwenzio au jirani yako yupo salama jinsi wewe upo salama ,mwazime mwenzio asiyenacho kwa sababu akikosa hakika hawezi akawa na amani moyoni mwake ,funza mwenzio kuhubiri amani popote aendapo .viongozi ni wa kuja na kuenda mimi na wewe ndio tutasalia pale tulipoachwa na kwa hivyo nifahamu mimi zaidi nami nikufahamu zaidi .Tuko kitu kimoja. Umuhimu wa amani siku zote ni kutakuwa manufaa katika nchi  Kwani shughuli ya kila mmoja ni kujenga nchi . Zaidi ya yote usisahau maombi ndio mwongozo mzuri wa kuhak...

WHAT DO YOU KNOW ABOUT TIGERS?

Image
  TIGERS ARE SELF SUFFICIENT, COURAGEOUS PREDATORS THAT KNOW WHAT THEY WANT AND KNOW HOW TO GET IT. THIS MAKES QUITE FORMIDABLE IN COMPETITION. THE LIFESPAN OF A TIGER IS 8-10 years. TIGERS ARE FOUND IN BANGLADESH ,BHUTAN ,CHINA ,INDIA ,INDONESIA ,LAOS ,MALAYSIA ,MYANMAR , NEPAL , RUSSIA , AND THAILAND. TIGERS ARE IMPORTANT CREATURES SUCH THAT AS WELL AS BEING MAJESTIC ANIMALS, IN THEIR ROLE AS PREDATORS, TIGERS KEEP THEIR HABITAT HEALTHY BY STABILIZING THE POPULATIONS OF QUICK BREEDING GRAZING ANIMALS SUCH AS DEER. LET’S HAVE A BRIEF EXPLANATION OF DIFFERENT TYPES OF TIGERS (1)    SIBERIAN TIGERS THIS TYPES OF TIGERS ARE DISTINQUISHABLE BY THEIR STRIPED FUR. SIMILAR TO PEOPLES UNIQUE FINGERPRINTS, NO TWO TIGERS HAVE THE SAME STRIPED PATTERN. SIBERIAN TIGERS DIFFER FROM OTHER TIGERS BECAUSE THEY HAVE FEWER, PALER STRIPES, AND THEY ALSO HAVE MANES. THIS MANE, IN ADDITION TO THEIR THICK FUR, HELPS KEEP THEM WARM. THEY ARE FOUND IN RUSSIA FAR EAST AND NORTHEA...

UTAMADUNI WA JAMII ZETU

Image
  TOKA ENZI ZA JADI JAMII MBALIMBALI ZIMETAMBULIKA SANA KUTOKANA NA UTAMADUNI WAO NA AMBAO BADO UNAHESHIMIWA. JAMII AMBAZO NITAKUFAFANULIA UTAMADUNI WAO KIUFUPI NI JAMII YA TIRIKI NA ILE YA BUKUSU. KABILA HIZI MBILI NDUGU NA ZINA MAMA YAO AMBAYE NI ABULUHYA. UKISIKIA ABALUHYA FAHAMU KWAMBA IMEJUMUISHA KABILA NYINGI ILA ZINATOFAUTIANA KUTOKANA NA NDIMI ,UTAMADUNI NA MAJINA . JAMII YA TIRIKI AMBAYO NI KATI YA ZILE NITAZUNGUMZIA NI JAMII AMBAYO MAKAO YAKE NI KAUNTI YA VIHIGA ILA FAHAMU KWAMBA JAMII HII NA ILE YA NANDI WANAFAHAMIANA KWA VILEMBA. BAADHI YA TAMADUNI ZA JAMII HII MOJA NI ILE YA UPASHAJI TOHARA HUJA BAADA YA MIAKA MITANO ,WANAOPASHWA TOHARA HUWA WAMEFIKIA UMRI WA KUPASHWA TOHARA NA NI LAZIMA WATIMIZE KWA SABABU NAO MIAKA HAIMSUBIRI YEYOTE. FAHAMU KWAMBA WENGI WANAOPASHWA TOHARA HUWA KATI YA UMRI WA MIAKA TISA HADI KUMI NA MIWILI. TOHARA SIKU ZOTE HUFANYIKIA MSITUNI NA HUDHURIWA TU NA JINSIA YA KIUME. JINSIA YA KIKE HAIPASWI KUWA NJE WAKATI WAPASHWA TOHARA WANAPELEK...

TOXIC RELATIONSHIPS IN CAMPUS

 Toxic relationship is any relationship where you are being emotionally or physically damaged by the other person. This could be a romantic relationship ,a friendship ,a family relationship.Anyone that you normally interact with forms one form of a relationship.These relationships are imbalanced and unhealthy and are characterised by control dominance. Majority of campus students get theselves into a toxic relationshipbecause of different reasons; *They rush into the relationship and commit too soon before knowing the other person well enough ,they ignore the red flags or are part of the vicious cycle. *They are afraid of saying "NO".They are probably one of those people who are afraid of hurting others ,so they end up going with the flow and accepting every date they ask them on even if they are not actually interested. *You love the treatment they give you ,but not them.People just love the attention and effort that others give them when they arent into them . *You would do...